Nyahunyo:Kipusa amekuwa akifanya ngono na wanaume licha ya kujua ana virusi vya ukimwi

Muhtasari
  • Kipusa amekuwa akifanya ngono na wanaume licha ya kujua ana virusi vya ukimwi

Nani amekosea jamii au amekukosea, kwa sababu makosa yao huwa tunayaleta kwenye kitengo cha nyahunyo na kutolewa makosa.

Siku ya JUmatatu jamaa mmoja alitaka kipusa mmoja atolewe makosa baada ya kuwaambukiza wanaume virusi vya ukimwi.

Kulingana na jamaa huyo kipusa huyo amekuwa akifanya ngono na wanaume hao licha yake kujua kwamba ana virusi hivyo.

"Nataka mwanamke mmoa ambaye anafahamika kama Alce atolewe makosa kwa sababu amekuwa akiwaambukiza wanaume virusi vya ukimwi

Amekuwa akifanya ngon na wanaume hao, licha ya kujua kwamba ana virusi vya ukimwi, nilionya rafiki yangu ambaye allikuwa anataka kuingia katika mtego wake," Alisimulia jamaa huyo.

Je mwanamke huyo alistahi nyahunyo au la?