Nyahunyo:Jirani yangu amekuwa akishinda 'lodging' na mume wangu

Muhtasari
  • Wakifanya tabia mbaya tunawachapa,wakifanya upuzi tunawachapa,uzembe na upuzi tunachapa nyahunyo hata makosa tunachapa nyahunyo, katika kitengo cha nyahunyo

Wakifanya tabia mbaya tunawachapa,wakifanya upuzi tunawachapa,uzembe na upuzi tunachapa nyahunyo hata makosa tunachapa nyahunyo, katika kitengo cha nyahunyo.

Mwanamke mmoja alitaka jirani yake apewe nyahunyo baada ya kutumia muda wake na mumewe kwenye vyumbavya kulala.

Huu hapa usimulizi wake;

"Nataka Maureen achapwe nyahunyo amekuwa akitumia muda wake wa wikendi na mume wangu kwenye lodging, mume wangu ni mteja wake katika baa yake

Tumekuwa kwa ndoa kwa miaka 4 sasa, nataka achapwe nyahunyo ili awachane na mume wangu," Alisimulia.

Je nani amekukosa au kukosea jamii achapwe nyahunyo kila siku ya wiki katika kitengo cha nyahunyo.