Wakati wa siasa wananchi wengi hutumia fursa hiyo kupikea pesa kutoka kwa wanasiasa mabao wanatafuta kutoka kwao.
Kuna baadi ya wale licha ya kuchoka asubuhi hadi jioni na kuchomwa na jua hawapati pesa ambazo walikuwa wameahidiwa na wanasiasa wao.
La si vyo pesa hizo zinaishia mikononi mwa wakubwa wao ambao ni wakorofi,na kuwakausha.
Katika kitengo cha nyahunyo jamaa mmoa alimtaka rafiki yake achapwe nyahunyo kwa kuvyonza pesa zao ambazo walikuwa wameahidiwa.
"Namtaka rafiki yangu ambaye ni 'broker' wa siasa achapwe nyahunyo, kwa kutukausha pesa zetu za siasa,alikuwa ametuahidi kwamba katika mkytano wa siasa kwamba tutapewa kila mmoja wetu elfu mbili lakini anatupea eelfu moja ihali tulikuwa tumetoka mbali
Sio mara yake ya kwanza kbali yamekuwa mazoea yake."
Je jamaa huyo alikuwa na makosa au ni mambo ya siasa?