logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nyahunyo:Jamaa achapwa nyahunyo kwa kuiba taulo za wanawake wakiingia bafu

Kelvin amekuwa na mazoea ya kuchukua taulo za wanawake baada ya kuingia bafu.

image
na Radio Jambo

Vipindi15 February 2022 - 14:27

Muhtasari


  • Jamaa achapwa nyahunyo kwa kuiba taulo za wanawake wakiingia bafu

Siku ya Jumanne mwanamume au mwanabiashara mmoja alitaka jamaa aliyetambulika kama Kelvin kuchapwa nayuhunyo baada ya kuwa na tabia isiyopendeza jamii.

Kulingana na mwanamume huyo kutoka Makueni, Kelvin amekuwa na mazoea ya kuchukua taulo za wanawake baada ya kuingia bafu.

"Nataka mwanamume ambaye anaitwa Kelvin achapwe nyahunyo kwa mazoea ya kuchukua taulo za wanawake baada ya yao kuingia bafu

Nitabia ambayo sio nzuri kwa jamii na hata kizazi cha sasa, kwani anawatesa wanawake hao baada yao kumaliza kuoga na kupata kwamba hamna taulo," Alisema mwanamume huyo.

Je Kevo alikuwa na makosa au ni mazoea ambayo amezoea na kujipa furaha?

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved