Nyahunyo:Jamaa awaekea wenzake Viagra kwa chakula

Muhtasari
  • Viagra ni tembe au dawa mabazo baadhi ya wanaume hutumia ili kuogeza nguvu za kiume, endapo wanatakakufanya tendo la ndoa
Mbusi,DJ Nyc na LIon
Image: Radiojambo

Viagra ni tembe au dawa mabazo baadhi ya wanaume hutumia ili kuogeza nguvu za kiume, endapo wanatakakufanya tendo la ndoa.

Katika miezi chache iliyopita tumeshuhudia na kuona wanaume wengi wakiaga dunia kwa ajili ya kutumia viagra, hii ina maana kuwa tembe ya Viagra ina mathara yake.

Katika kitengo cha nyahunyo jamaa mmoja kutoka Kisumu aieleza masikitishi yake, kwa ajili ya rafiki yake ambaye alitenda kitengo cha kutolewa makosa.

Kulingana na jamaa huyo, rafikiye ambaye wanafanya kazi pamoja alliwaekea wafanyakazi wenzake viagra kwenye chakula.

"Nataka jamaa mmoja hapa kaunti ya Kisumu apewe nyahunyo kwani alifanya makosa ambayo hayawezi sameheka 

Alingoja mama chakula akiwa ameleta chakula, na kueka viagra kwa chakula, mpaka wafanyakazi wote hatujaenda kazini."

Je jamaa huyo alistahili kuchapwa nyahunyo au la?