Muhtasari
•"Catherine Lisamba 56yrs kutoka Vihiga. Naomba mnipatanishe na Baba Watoto wangu anaitwa Joseph Masakwi 61yrs. Tulikuwa kwa ndoa for 4yrs hapo awali na tuko na Watoto wawili. Nilikosana na yeye 30yrs ago juu hio wakati alikuwa analeta wanawake kwa boma kila mara. Ningependa kumouomba msamaha ndio tuache kushikiana kisasi kwa sababu watoto washakuwa wakubwa na wangetaka kututembelea sote kama Wazazi wao. Kwa hivi sasa mimi niko kikazi huku Nairobi na yeye ako Kakamega"