Muhtasari
•Kitengo cha Patanisho kwenye kipindi cha Gidi na Ghost Asubuhi kitaanza saa mbili unusu na mashabiki watatoa maoni kuanzia saa tatu asubuhi.
•Kelvin Khimisi anataka kupatanishwa na mchumba wake Millicent Adhiambo ambaye aliachana naye miezi chache kabla ya harusi.