Huwa namnunulia rafiki yangu pombe kisha nafanya mapenzi na bibi yake-Mwanamume atoboa siri

Muhtasari
  • Mwanamume asema amekuwa akichovya asali na mke wa rafiki yake baada ya kumlewesha

Je unamuamini rafiki yako kwa kila kitu ambacho huwa mnafanya pamoja au kwa ale huwa unamwambia?

Kuna baadhi ya marafiki ambao ni marafiki lakini feki na watapeli, kuna wale wanataka kuvunja uhusiano wako na watu ambao unapenda na pia wale ambao wanakutakia mazuri katika maisha yako.

Mwanamume mmoja aliyefahamika kama Stephen alitoboa siri na kueleza jinsi amekuwa akichovy asali na bibi ya rafiki yake baada ya kumlewesha.

 

"Nimekuwa nikifanya ngono na bibi ya rafiki yangu tanga mwaka jana Agosti, tumekuwa marafiki tangu mwaka wa 2010

Tumekuwa tukienda klabu kisha namnunulia pombe na kwamaana mimi sinywi pombe analewa, Richard ni mtu ambaye akilewa anakosa kujielewa

Nikimpeleka kwake huwa analala kwa kiti na mimi na mke tunaanza kazi, nataka kutobao siri hii kwa sababu mke wake sasa ana mimba na hatujui ni ya nani." Alieleza Stephen.

Haya kuwa makini na raiki yako kuanzia sasa.