logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nilimroga aliyekuwa mke wangu asiolewe wala kuzaa kamwe-Mwanamume atoboa siri

Katika kipindi cha toboa siri mwanamume mmoja alisimulia jinsi alimfunga mkewe

image
na Radio Jambo

Yanayojiri19 May 2021 - 15:03

Muhtasari


  • Mwanamume asimulia jinsi alimfunga mke wake asiolewe baada ya kumuacha

Je ukiachwa kweli utakubali kuachwa au utalipiza kisasi? kuna wale huwa wanaendelea na maisha yao na wale pia ulipiza kisasi.

Katika kipindi cha toboa siri mwanamume mmoja alisimulia jinsi alimfunga mke wake asiolewe wala kuzaa maishani baada ya kuachwa.

"Nilioa mwanamke mmoja akiwa na mtotto baada ya kulea mtoto wake, nilitoka kazi nikapata amebeba kila kitu na amrudia aliyekuwa mpenzi wake na baba wa mtoto wake

Nililipiza kisasi nilienda kwa mganga, nikasema nataka watengane na wasiwahi oanana tena, nilitumia elfu 2,707

Baada ya muda mwanamke huyo alipelekwa nyumbani kwa mwanamume huyo na akaachwa huko nyumbani na mwanamume huyo akabadilisha namba ya simu

Mganga aliniambia tusirudiane na mwanamke huyo, pia nilimfunga asiolewe wala kuzaa tena, mwezi mmoja uliopita alinipigia simu na kuniambia kwamba anataka turudiane lakini mganga alikataa

Sasa nataka kumtobolea siri kwamba siwezi rudiana naye kwa sababu mganga aliniambia tusirudiane na nilimfunga pia," Alisimulia Mwanamume.

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved