logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Tulifanya ngono na bibi ya pasta kanisani-Jamaa atoboa siri

Kulingana na jamaa huyo alisema kwamba bibi yake pasta alimkufia kutoka kitambo

image
na Radio Jambo

Yanayojiri08 June 2021 - 14:56

Muhtasari


  • Jamaa aeleza jinsi alienda kesha na bibi ya pasta wakiwa tu wawili

Katika kutengo cha toboa siri na watangazaji Mbusi na Lion, mwanamume mmoja aliwaacha mashabiki wa radiojambo midomo wazi baada ya kutoboa siri ya kile alifanya na mkewe mhubiri wa kanisa.

Kulingana na jamaa huyo alisema kwamba bibi yake pasta alimkufia kutoka kitambo, hivyo basi alimpigia simu na kumwambia kwamba kuna kesha kanisani anapaswa kuenda.

Ala!cha kushangaza ni kuwa;

"Nilipoenda kanisani hakukuwa na watu ilikuwa tu mimi na bibi ya pasta, tulikaa kwa muda mrefu akaniambia kuwa waumini wale wengine bado wanakuja

Usiku wa manena baada ya kuomba, kuna godoro kanisani, aliniita tulale pamoja, mimi kama mwanamume tulifanya ngono kanisani

Nataka wanajambo wanishauri iendelee kuenda keesha na bibi ya pasta au niache kwa maana sijaoa, pia alikuwa amepanga kesha ningine lakini nilikataa kuenda," Alieleza mwanamume huyo.

Kwa uhondo zaidi tembelea radiojambo youtube.

 

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved