Aliyekuwa mwajiri wangu amekuwa akila asali yangu mkewe hajui-Mwanamke atoboa siri

Muhtasari
  • Mwanamke asimulia jinsi alikuwa mpango wa kando wa mwajiri wake

Mwanamke mmoja katika kitengo cha toboa siri alisimulia, na kutoboa siri jinsi alyekuwa mwajiri wake alimmezea mate.

Sio kummezea mate tu bali alikuwa mpango wake wa kando, huku wakifanya tendo la ndoa kwenye kitanda cha mwajiri wake licha yake kuwa na mke.

"Nilikuwa nimeajiriwa kazi ya nyumba, mwajiri wangu mwanamke hakuwa ananibeba vyema, alkuwa ananitesa, kuniacha bila chakula kila siku

Nikimuuliza alikuwa ananiuliza kama nimeenda kufanya kazi au kula, baada ya muda mume wake alianza kunimezea mate kwa sababu nilikuwa nampelekea maji moto ya kuoga bafuni

Nikifika huko kumbe alikuwa ananingoja na kunionyesha mapenzi, kuna wakati nilafanya tendo la ndoa kittandani mwake mke wake akiwa kazini, na akinipelekewa kwenye mgahawa kula

Baada ya kutoka kazi nimekuwa naye pia, kwa hivyo nataka kumtobolea mke wake nimwambie mumewe amekuwa akiingia nyumbani akiwa amechelewa kwa sababu huwa anapitia kwangu na kunionyesha mahaba tele," Alisimulia Mwanamke huyo.