Nimekuwa nikila paka wa majirani-Mwanamume atoboa siri

Muhtasari
  • Mwanamume atoboa siri jinsi amekuwa akila paka wa majirani

Katika kitengo cha toboa siri na Mbusi na Lion Teketeke, mwanamume mmoja alitoboa siri jinsi amekuwa akichinja paka na kula.

KUlingana na mwanamume huyo alianza kula paka wa majirani, kutoka mwaka jana.

"Nataka kuwatobolea majirani zangu kwamba paka ambazo wamekuwa wakitafuta ni mimi nilichinja na kukaula

Niianza hii tabia mwaka jana, mimi siajaoa na wala sijawahi wapa familia yangu nyama ya paka,lakini kuna rafiki yangu ambaye alikuja kwangu na kunipata nikila nyama nataka kumtobolea siri nimwambie kwamba nyama hiyo ilikuwa ya paka

Nategea paka mwingine ambaye amekuwa akizunguka hapa kwa shamba," Alitoboa mwanamume huyo.