Taboo? Nina watoto wawili na mama wa kambo-Jamaa atoboa siri

Muhtasari
  • Katika kitengo cha toboa siri na watangazaji MBusi na Lion, mwanamume mmoja aliwaacha mashabiki wa Radiojambo  midomo wazi baada ya kufichua kile amekuwa akifanya na mama wa kambo.

Katika kitengo cha toboa siri na watangazaji MBusi na Lion, mwanamume mmoja aliwaacha mashabiki wa Radiojambo  midomo wazi baada ya kufichua kile amekuwa akifanya na mama wa kambo.

Usimulizi

"Baba yangu alimumba mama wa kambo wangu mwaka wa 2007,miaka mitatau sasa tumekuwa katika uhusiano wa kimapenzi, lakini ni yeye alinipenda wa kwanza yaani alirusha mistari na ananipenda sana

Tumebarikiwa na watoto wawili lakini baba yangu hajui kama ni wangu ilhali anafahamu kwamba ni wake, pia nataka kumtobolea mke wangu kwamba nina uhusiano wa kimapenzi na mama yangu wa kambo na pia watoto wake wawili ni wangu, na wala sio ndugu zangu,"

Ni vitendo ambavyo vinazidi kuongezeka ambavyo vinawashangaza na kuwatamausha wengi kwani wengi wao hawatambui utamaduni wa jamii ambao akina babu zetu walikuwa wanafuata.