Mama mkongwe alinitoa nguo,alitaka tushiriki tendo la ndoa-Jamaa atoboa siri

Muhtasari
  • Jamaa atoboa siri jinsi mama mkongwe alitaka wafanye tendo la ndoa
Lion,Mbusi na DJ Gregg

Je unaeza kufanya tendo la ndoa na mama mkongwe kama wewe ni kijana?Mwanamume mmoja alimwaya mtama jinsi mama mmoja katima kijiji chao alitaka wafanye tendo la ndoa.

Kulingana na jamaa huyo mama huyo alimuita ili amsaidie kufanya kazi, lakini alipofika nyumbani kwake mambo yalibadilika.

"Kuna mama mkongwe ambaye ana miaka 77, katika kijiji chetu, ambaye amekuwa akiwataka vijana wafanye tendo la ndoa

Kuna wakati aliniita nikamsaidie kazi nyumbani kwake, nilipokuwa nikifanya kazi aliniangalia na kuanza kunipa maneno ya mapenzi ambayo sipendi, mimi ni kijana wa miaka 28, baada ya hapo alinitoa ngu akitaka tufanye tendo la ndoa

Sio mimi peke yangu bali mimi ni kijana wa nne kumfanyie tendo hilo,,nataka kutobolea wanakijiji ni waambie kwamba Naliaka amekuwa akitaka kuwabaka vijana wenye umri wa chini" Alitoboa siri Jamaa huyo.