Pasta mla kondoo! Pasta afunuliwa nguo na mshirika wake

Muhtasari
  • Kulingana na mwanadada huyo kutoka Siaya pasta huyo amkuwa akila uroda wake na kugawana sadaka pamoja
Lion,DJNyce na Mbusi
Image: Studio

Kuku wakiwa wengi wanamwaya mtama kwenye kitengo cha tobo siri, siku ya JUmatano mwandada mmoja aimwaya mtama jinsi pasta wake amekuwa akifanya.

Kulingana na mwanadada huyo kutoka Siaya pasta huyo amkuwa akila uroda wake na kugawana sadaka pamoja.

Hii hapa siri yake;

"Tarehe 1 Januari mwaka huu nataka kuwatobolea washiriki wa kanisa ninaloshirii na bibi ya pasta kwamba nilienda maombi nyumbani kwa pasta wangu lakini jambo moja baada ya lingine tulifanya mapenzi

Pasta ana karibu miaka 40, nami nina maiaka 21, bibi ya pasta alikuwa amelazwa hospitali amekuwa akiniambia niende nyumbani kwake 

Nimekuwa nikimdanganya mpenzi wangu  kuwa naenda kanisani kumbe nimekuwa nikienda kwa pastor kula uroda na kugawana sadaka.

Pia anataka niwe mke wake wa pili, nataka ushauri kutoka kwa wanajambo," Alisimulia.