In Summary
  • Msanii Bahati na mkewe awali wamekuwa wakiposti maisha yao kwenye mitandao ya kijamii
  • Bahati aliposti picha ya wanawe huku mashabiki wakimwambia kwamba hamna anaye mfanana
bhatianddianamarua

Msanii Kevin Kioko almaarufu Bahati na mkewe Diana Marua kwa muda sasa amekuwa wakiposti maisha yao kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiwapongeza na wengine kuwakejeli.

Saa chache zilizopita msanii huyo alipakia picha za wanawe na kuuliza nani anamfanana.

Pia mkewe aliwaposti wanawe wawili na kuandika ujumbe huu;

ย 

" Kubarikiwa ni kwa matunda ya ya tumbo yangu milele na kila wakati, ๐Ÿ˜‡ย @HeavenBahatiย @MajestyBahati mama yaneu anajivunia kuwa nanyi." Diana Aliandika.

Bahati naye alikuwa na haabya kuandika huu mashabiki wake wakimuambia kuwa alichezwa kwa maana watoto hao hawamfanani.

Pia wengine waligusia na kusema kifungua mimba wake Mueni pia hamfanani kamwe.

"Nani anafanana sana na baba @Heavenbahati ama @Majestybahati."Bahati aliandika.

Hizi hapa baadhi a hisia za mashabiki;

Simiyu Wairimu: Dna za bahati ni weak aje ata Mueni hakukai

Sahanzy: Both look like their mummy @diana_marua hapaa ulicheza kiweee ukamchengaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโค๏ธโค๏ธ

ย 

Betty bee: Hakuna hta mmoja mwenye anakufanana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... ni kama we ulichezwa hahaa

Mwenda Kenyan: Umeanza kushukuu kuchezwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kerubo: Sasa mambo ya familia tutaingilia wapi hapo, hbu uliza mama yao

Bobb: Hapa itabidi ukubali tu ulichezwa aki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... anza kazi ya kutafta mwingine

Tracy Prossy: No one even on Diana ๐Ÿ˜ฎ

Diesa: Aaaaaiiih hapo uligeuziwa Baha hakuna copyright yko manzee

View Comments