Mwanasosholaiti Corazon Kwamboka afichua sura ya mwanawe kwa mara ya kwanza
- Tazama picha za mwanawe mwanasosholaiti Corazon Kwamboka
- Taiyari Kiarie alizaliwa mnamo Agosti mwaka huu
Mwanasosholaiti Corazon Kwamboka na mpenzi wake Frankie Kiarie kwa mara ya kwanza tangu Corazon kubarikiwa na kifungua mimba wake wamefichua sura ya mtoto wao baada ya miezi nne.
Taiyari Kiarie alizaliwa mnamo Agosti mwaka huu.
Wikendi iliyopita kupitia kurasa za instagram za wawili hao walipakia picha cha mtot0 wao huku mashabiki wengi wakimsiu kwa sura yake nzuri.
Baada ya kupakia picha ya mwanawe Frankie aliandika ujumbe huu;
"Ninaweza kusema nini, ninawafanya wanaume WAUME! π€·π½ββοΈ." Aliandika Frankie.
Pia kupitia kwenye ukurasa wake wa mwanasosholaiti huyo aliandika haya;
"Zawadi yenye dhamani zaidi."
Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao;
malkia_001: He is so cute, MashaAllah ππ
kellywanjikuterry: Cute babyβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
jane.mumbi.750546: He is so adorable
miss_barizy: Cute litu boyπ
its_june254: Cuteness reloaded
mrsormich: Aaawww so cute...he looks like his mama.ππ
ogakej: This baby is beautiful congratulations Frankie and corazon
justberylfaith: Baby fever πhe's so adorable π₯ππππ
effiebaltazar: πππππoh dear Lord..absolutely adobs...my ovaries did not need to see this today π₯π₯π
kiboikuria :ππππππAko na Hulk Hogan arms already!!! Good stuff!