Last Updated On 25 January 2021 1 Min Read
Kifo
RIP: Wapenzi wa muziki wa Mugithi wamuomboleza Mighty Salim
Mighty Salim alitambulika pia kwa weledi wake kwa muziki wa mugithi
In Summary
- Katika mahojiano hapo awali alisema imekuwa vigumu kwake kukubali kwamba kakake Salim Junior aliaga dunia
Wapenzi wa muziki wa mugithi wameenelea kutuma risala zao za rambi rambi kufuatia kifo cha mwanamuziki Mighty Salim ambaye jina lake halisi Timothy Njuguna aliyeaga dunia siku ya jumapili januari tarehe 24 kwa ajili ya tatizo la figo .
Aliaga dunia baada ya maadhimisho ya miaka sita tangu kuaga dunia kwa kakake mkubwa Salim Junior ambaye alifarii januari tarehe 23 mwaka wa 2016. Katika mahojiano hapo awali alisema imekuwa vigumu kwake kukubali kwamba kakake Salim Junior aliaga dunia
Hizi hapa baadhi ya jumbe za risala za rambi rambi kutoka kwa wafuasi wake