Familia ya Kabi Wa Jesus iafahamika sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kutafuta kiki na kuishi maisha ambayo si yao kulingana na mashabiki wengi.
Mwaka jana bibi yake Kabi alimpa zawadi za kipekee wakati wa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha za siku hiyo huku akiahidi mkewe kuwa siku ya wapendanao pia naye atacheza mchezo wake.
Moja ya bora zaidi #Tbt ill. @millywajesus wewe ni wa baraka katika maisha yangu.Manze nakupenda saaaaaana 🥰🥰🥰 pia mimi lazima nicheze kama mimi this valentines 💝."