Nisikie mumeachana tena,'Terence Creative amwambia mchekeshaji Mulamwah na mpenzi wake
- Mashabiki wamwambia Mulamwah wasiachana na mpenzi wake
Mwaka jana uvumi ulienea kwamba mchekeshaji MUlamwaha ameachana na mpenzi wake, huku MUlamwah akiandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu kuachana kwao.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha yake na mpenzi wake huku baadhi ya mashabiki wakimuonya wasiweze kuachana tena.
Mchekeshaji mwenzake Terence Creative pia aliunga baadhi ya mashabiki huku akiwaambia wasiachane tena wala asisikie wameachana.
"Nisiskie mumeachana tena." Terence Aliandika.
Hizi happa baadhi ya hisia za mashabiki;
honalinur: Hii usichome inakaa poaππ
flossytrukid: Ambia bibi yako aongeleshe siz yake Niko hapa natafuta patanishoπππ
presenter_obae: Washone ya future Konki junior iwekwe itulie tu...
duncantsumbaIle:Β shati ulichoma kumbe ilikua na watoi?
nebulazzkenya: Kwani hizi nguo zilikuwa ngapi mtu wanguπππ.... Twinning πππ
finesse_ngara_: Usichome hiiππbro
savaisylvia: ππ I didn't see that coming
spannerbowy: Aki nyinyi ππππ
chao_mam_mamii: Mnajikuta bahati na dianaππ