Kwa muda sasa aliyekuwa muigizaji wa Tahidi High Josep Kinutia almaarufu Omosh amekuwa akivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya uichua mauu ambayo aamekuwa akipitia wakati wa janga la corona.
Baadhi ya watu mashuhuri,waigizaji wenzake, na hata wasamaria wema walijitokeza na kumsaidia muigizaji huyo kwa njia tofauti.
Alhamisi Omosh alipakia picha akiwa na muigizaji mwenzake Dennis Mugo almaarufu OJ huku mashabiki wakitoa hisia tofauti kwa ajili ya picha hiyo.
Asilimia kubwa ya mashabiki walimshauri Omosh amtafute OJ na wafanye kazi pamoja, kama vile walivyokuwa wanaigiza kwenye kipindi cha Tahidi High.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;