Sonko alimwambia mwanawe kuwa huwa anamshangaza kila kuchao, na amekuwa mtu wa kujali.
"Kwa binti yangu mpendwa Sandra: Kwa kila siku ya kuzaliwa inayopita, unanishangaza zaidi na zaidi
Umekua mtu mwenye akili, wa kufurahisha na anayejali ambaye anaendelea sana maishani mwake. Nimefurahi kuona nini siku zijazo zimekuwekea. Heri ya kuzaliwa binti yangu kipenzi, nakupenda siku zote.," Aliandika Sonko.
Awali Sonko amekuwa akipitia changamoto nyingi.