In Summary
  • Msanii Stvo Simple Boy awachangamsha wanamitandao baada ya kupakia picha akiwa na mwanamke mzungu
Stevo-simple-boy-

Msanii chipukizi Stephen Otieno almaarufu Stivo Simple Boy kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amewachangamsha wanamitandao baada ya kupakia picha akiwana mwanamke mzungu.

Baada ya kupakia picha hiyo aliandika usemi wake ambao anaupenda wa 'Ndio manake'.

Wanamiandao hawajaweza kutulia baada ya kuona picha hiyo na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

ย 

alex_mwakideu: Hapo sawa kabisa! Shikilia kabisaaaa!!!!

khaligraph_jones: Ndio Maanake, rada safi

vincent_vitalis_okech: Alaaaaa!!!!!!please show us the way master

robiemilly: Aki wewe pesa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜

c.a.r.o.l._m: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Heri ww Stivo

mike_clatch: Give us the way master๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

jahrso: Stivo huyu ndio amechukuwa ile kitu๐Ÿ˜‚ mvumilivu hula mbivu walai๐Ÿ‘

ย 

maxcurry38: Kweli vitu ni simple na ww๐Ÿฅบ...SASA ww hii baridi uko Tu glory! glory!

millymanyara: Harusi tunayo hatuna???๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

petermalovez: shika mtoto acha uoga

Msanii huyo alifahamika sana baada ya kutoa kibao chake cha 'mihadarati'.

Hii hapa picha hiyo

View Comments