Aliyekuwa muigizaji wa Kipindi cha Machachari Wanjiku MBuru maarufu Mama Baha anaomboleza kifo cha mama yake.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha ya mama yake huku akimsifia na kutangaza habari za kifo chake.
Mama Baha alimpoteza mama yake siku ya Ijumaa 16,Aprili,2021.
Baada ya kupakia picha yake aliandiika ujumbe ufuatao;
"Malkia amepumzika, mama wa wengi, mpendwa wangu,dunia yangu Sallyjoe," Aliandika Wanjiku.
Hizi hapa baadhi ya jumbe za rambirambi za mashabiki;
the._real_boss: Sorry for the loss auntie Shiku😢may her soul RIP.