Je walikuwa sawa waliposema 'Age is just a number' katika maisha ya mapenzi kwani tumeshuhudia na hata kuyaona maneno hayo yakitiwa nguvu na vitendo vya watu.
Katika kitengo cha story za Ghost, alisimulia jinsi kizaazaa kilishuhudiwa Tana River baada ya mzee wa miaka 90, kumuoa msichana wa miaka 19.
Usimulizi
"Mapenzi ndio yana Run dunia ata msanii Alikiba aliimba, kizaazaa kilishuhudiwa eneo la Tana River baada ya mzee wamiaka tisiani kumuoa msichana wa miaka 19
Wawili hao walitoroka wakaenda kuishi Mombasa baadaye walirudi na kufunga ndoa,"
Swali kuu ni je unapaswa kuachana na menzi wako kwa miaka mingapi ili muoane?