In Summary
•Zari Hassan alipakia video na picha zilizoonyesha wakijiburudisha na wanawe pamoja na baba yao katika eneo moja la burudani na biashara nchini Afrika Kusini.
•Diamond alionekana akiwa amebeba watoto wake wawili walioonekana kujawa na bashasha na kufurahia kipindi walichokuwa na baba yao.
•Aghalabu nyota huyo wa Bongo ameonekana kuwapenda watoto wake na Zari zaidi kuliko wengine wawili ambao alipata pamoja na Tanasha Donna na Hamissa Mobetto.