In Summary
•Siku moja baadae malkia huyo mwenye umri wa miaka 32 alitoa kibao chake cha kwanza 'Hatutaachana' ambacho cha kushangaza zaidi kiliweza kupata zaidi ya watazamaji laki tatu ndani ya masaa 12.
•Mwanamuziki Willy Paul alipoulizwa maoni yake kuhusiana na hatua ya Diana kuingia kwenye muziki kwanza aliangua kicheko kikubwa kabla ya kumshauri atie bidii na aombe Mungu ili afanikiwe.
•Mtumizi mmoja wa Twitter anayejitambulisha kama @OnlyWangui alisema huenda Diana ni zile mawe ambazo Bibilia inasema zitaimba watu wakikataa kumuimbia Mungu.