In Summary
  • Tazama picha za hafla ya siku ya kuzaliwa ya Raila iliyofanyika Bomas
Tazama picha za hafla ya siku ya kuzaliwa ya Raila iliyofanyika Bomas
Image: Fredrick Omondi

Kinara wa ODM Raila Odinga alikuwa mwana wa siku aliposherehekea sherehe yake ya kutimiza miaka 77 mnamo Ijumaa 07, 2022.

Karamu hiyo iliyoandaliwa katika ukumbi wa Bomas of Kenya ilihudhuriwa na aina tofauti ya wakenya huku ikiwemo wanasiasa.

"Nilipenda kutikisa mguu na vijana na wasichana wa Bomas. Tulishiriki vicheko vikali, tukaweka miguu yetu vizuri mbele, na tulitafakari tulipokuwa tukisherehekea siku yangu ya kuzaliwa. Asanteni nyote kwa heri njema ya siku ya kuzaliwa," alisema kwenye tweet. .

Mapema katika siku hiyo, kaunti mbalimbali pia zilisherehekea Baba kwa keki zao.

Kupitia ukurusa wake wa Twitter,Ruto amemtakia Kinara waziri huyo mkuu wa zamani miaka mingi duniani.

"Heri ya kuzaliwa Jacom. Ubarikiwe na mengine mengi. @RailaOdinga" Alinakili Ruto.

Hizi hapa baadhi ya picha za hafla hiyo;

Tazama picha za hafla ya siku ya kuzaliwa ya Raila iliyofanyika Bomas
Image: Fredrick Omondi
Tazama picha za hafla ya siku ya kuzaliwa ya Raila iliyofanyika Bomas
Image: Fredrick Omondi
Tazama picha za hafla ya siku ya kuzaliwa ya Raila iliyofanyika Bomas
Image: Fredrick Omondi
Tazama picha za hafla ya siku ya kuzaliwa ya Raila iliyofanyika Bomas
Image: FRedrick Omondi

View Comments