In Summary
  • Eric Omondi na Khaligraph Jones wazua gumzo mitandaoni hii ni baada ya JOnes kutaka kujua nini haswa kilimtendekea Eric baada ya kukonda

Mchekeshaji Eric Omondi atafanya chochote ili kupata umaarufu na kuvuma kwenye mitandao ya kijamii.

Kwanini nasma hayo hii ni kwa sababu kwa sasa mchekeshaji huyo ana ugomvi na rappa Jones lakini anataka tu umaarufu na wala si jambo la maana.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Eric alipakia video huku Khaligraph akimuuliza nini haswa kilitendeka na awali alikuwa na misuli lakini sasa ameanza kukonda.

 

Khaligraph aliendelea na kumwambia Mchekeshaji huyo kwamba mabibi wengi ndio wanammaliza na anapaswa kurudi Gym.

eric omondi

Eric hakuchukulia usemi wake Khaligraph kwa urahisi bali alimwambia anapaswa kumheshimu.

"Budaa I think sasa tumeanza kuzoeana😡😡...Nataka kuchukua time off Kidogo from my busy schedule ni DEAL Nawewe once and for all...Hii Ujinga na Upuzi lazima iishe na Heshima itadumuu...RESPECT THE PRESIDENT KIJANA...MATAKO." Eric Aliandika.

Baadhi ya mashabiki waliwashauri waache kubishana bali wanapaswa kupigana, ilhali wengine waliwashauri wapendane kama mandugu.

Haya hapa ushauri wa baadhi ya mashabiki;

khali-e1471415170725

nickmutuma: Ume slim kiasi though bro 😂 @ericomondi

terencecreative: Wajaluo pendaneni😂😂😂😂

 

jeff._.ke: Utapigwaa😂huyu sio Shakila bana😂😂

african__oxygen: 😂😂 respect the ogs

mercy_ramsey_: I will comment later😊Njaanuary unanunua nyama 1Kg butcherman anatoa picha ya uhunye anaweka yako😎

ian.stephen_: Si mpigane😂mnabishana aje😂😂

keziah.kabari_: Naona uchunguu ya OG ni erico kuwa na mabibii wengiii😂😂hiyo part imetokaa na uchunguu heeee💔atii "ama ni hao mabibii wengiii umeoa huko wanakumalizaa"😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹

yvette_rembo: Og has spoken juheshimu😂😂😂😂😅😅 bradhe

k_u_s_h_i_t_e: Ama ata hii wamepanga😂

empiremasons: Wewe tulia ngombe hii don't talk to O.G like that idiot

View Comments