In Summary

• Kundi hatari la muziki  kutoka nchi ya Jamaica, Morgan Heritage wametangaza  kutoa  collabo mpya  na msanii nguli kutoka nchi ya Tanzania Diamond Platnumz.

• Kupitia ukurusa wao instagram , wameeleza mashibiki  wao kuwa tayari kwa  collabo kali kutoka kwao mwaka huu  2022.

 

Bendi ya Morgan Heritage na Diamond Platnumz
Image: instagram/Hm

Hayawi hayawi huwa! Kundi hatari la muziki kutoka nchi ya Jamaica, Morgan Heritage wametangaza  kutoa  collabo mpya  na msanii nguli kutoka nchi ya Tanzania Diamond Platnumz.

Kupitia ukurusa wao instagram , wameeleza mashibiki  wake kuwa tayari kwa  collabo kali kutoka kwao mwaka huu  2022.

"Mko tayari kwa collabo ingine  na kaka yetu @diamondplatnumz? @gotmojomorgan anapoungana na Simba unajua tuko na kitu kali," Heritage Morgan ilisema 

Kundi la Morgan Heritage lina  wasanii watano ambao ni watoto wa msanii Denroy Morgan ambaye alihamia Marekani kufanikisha safari ya muziki.

Ikumbukwe si mara yao ya kwanza kufanya Collabo na Diamond ambapo wamefanya collabo  ambayo mwaka huo iliibuika kuwa miongoni mwa nyimbo zilizotamba sana.

 

 

  

View Comments