Kibao cha wiki:Tazama kibao kipya cha msanii Nameless na Wahu kimeweza au la
- Tazama kibao kipya cha msanii Nameless na Wahu
- Wawili hao wameuwa kwa ndoa kwa zaidi ya mika kumi, na wamebarikiwa na watoto wawili.
- Wasanii hao wametoa vibao ambavyo vimependwa na mashabiki wao, huku wakizidi kutia bidii katika kazi yao.
Msanii David Mathenge maarufu Namelss na mkewe msanii Wahu Kagwi, wamekuwa wakivuma kwa muda baada ya wawili hao kuja pamoja na kuanza kushirikiana katika usanii wao.
Wawili hao wameuwa kwa ndoa kwa zaidi ya mika kumi, na wamebarikiwa na watoto wawili.
Wasanii hao wametoa vibao ambavyo vimependwa na mashabiki wao, huku wakizidi kutia bidii katika kazi yao.
Katika kibao cha wiki tunatazama kibao cha Nameless na Wahu wametoa kibao ambacho kinafahamika kama 'Feeling'.
Ni kibao ambacho kimetolea siku ya JUmanne Julai 6,na inazungumzia kuusu hadhithi ya ukweli.
Pia kinazungumzia msichana wa chuo kikuu ambaye ameokoka na amempenda mwanamume ambaye hajaokoa kwa hivyo mapenzi yao yanakuwa na shida.
Je kulingana na maoni yako kibao hicho kimeweza au hakijaweza?
Hii hapa video ya kibao hicho;
The video could not be loaded.