In Summary
  • Asante kwa upendo na baraka zako. Mpaka tukutane tena baada ya 100 au zaidi, nakupenda.❀️,"Aliandika Ben Soul.
BenSoul
Image: Moses Mwangi

Msanii maarufu Ben Soul anaomboleza kifo cha mmoja wa wapedwa wake ambaye ni nyanyake.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instaram msanii huyo alifichua kwamba nyanya yake aliaga akiwa na miaka 103.

"Pumzika kwa amani bibi. Ninakusherehekea leo na milele zaidi. Miaka 103 πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ!gone too soonπŸ˜….

Ben soul aliendelea kumshukuru nyanya yake kwa baraka alizomuachia.Β 

Asante kwa upendo na baraka zako. Mpaka tukutane tena baada ya 100 au zaidi, nakupenda.❀️,"Aliandika Ben Soul.

Mashabiki wake waliungana naye na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

noni_gathoni: I’m glad I got to meet her and recieve her blessings. Rest in power shosh ❀️

h_arttheband: RIP shosh πŸ™πŸ™πŸ™ Gone to soon fr πŸ˜…

wixx_mangutha: So sorry. May she rest well. πŸ™πŸ½ 103...wow! πŸ™ŒπŸΎ

matataofficial: πŸ•ŠοΈ πŸ•ŠοΈ Rest in paradise Shosh sending love to you bro πŸ™πŸΎπŸ€πŸ€πŸ€

kate.kabi: Sending you hugs and my condolences to you and your family β™₯οΈπŸ•ŠοΈ

okellomax: My condolences brother πŸ™πŸΎ May she rest in eternal peace

View Comments