In Summary
  • Kupitia kwenye ukurasa wa mwanasosholaiti huyo huku akiwatangazia mashabiki wake habari hizo njema alipakia picha akiwa kwenye kitanda cha hospitali
Vera Sidika na Brown Mauzo wametangaza kuzaliwa kwa mtoto wao wa pili.
Image: INSTAGRAM// VERA SIDIKA

Mwanasosholaiti maarufun na mjasirimali Vera Sikia na msanii Brown Mauzo wamebarikiwa na mtoto wa pili.

Kupitia kwenye ukurasa wa mwanasosholaiti huyo huku akiwatangazia mashabiki wake habari hizo njema alipakia picha akiwa kwenye kitanda cha hospitali, na mumewe na kifungua mimba wao Asia.

Huku akimkaribisha mwanawe alimwandikia ujumbe wa kipekee, na kumsifia kwa uzuri wake.

" Kusubiri kumekwisha! 🎊A Prince amezaliwa🎊 Ice Brown @prince_icebrown mvulana mzuri zaidi kuwahi kumwona 😍😩❤️,"Vera Aliandika.

Kwa upande wake msanii Mauzo alimshukuru Mungu kwa kuwabariki na mtoto mzuri.

Ninashukuru sana kwa zawadi maalum Mungu ametubariki nayo. Tunakupenda kwa kutubariki kikamilifu. Maisha ni mazuri na wewe kijana wangu @prince_icebrown . Umeongeza maisha yetu kwa furaha na nyakati nzuri. Asante kwa Mungu,"Mauzo aliandika kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Wanamitandao walichukua fursa hiyo na kuwapongeza na hizi hapa baadhi ya jumbe zao za pongezi;

minne_cayy: VerifiedCongratulations. Ice atapatia our girls stress 🔥🔥 CANT WAIT for the world to see him …hun ❤️❤️❤️❤️

anne: Already prince akona ten followers na 30seconds na akifikisha 😂😂😂😂

kenyan: Cute family 😢😍 wale mnateseka kUpata followers kujeni dm asap

moreen: Congratulations mummy ❤️❤️❤️❤️ am happy to see you guy's mungu ametenda

sean: U gave birth last year Dec n I guess u bringing it now how now? Vera let them buy your lies kuwa Celebrity ni shida shida tupu

kay:Vera time yangu ikifika I will consult you for a name😍😍😍❤️😂 

 

 

 

View Comments