In Summary

• Adam22 alisema kuwa mara ya kwanza aliumia sana lakini baadae alikubali na kusema kuwa ndio uamuzi sahihi alioufanya mkewe.

• Alisema kuwa hata yeye amewahi shiriki mapenzi na kile alichokitaja kama 'mamia ya wasichana' huku mke wake akiona.

Adam22: YouTuber akubali mkewe kushiriki filamu za watu wazima
Image: Instagram

MwanaYouTube maarufu kutoka Marekani Adam22 amepasua mbarika kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba haoni vibaya kwa mke wake kuigiza kwenye filamu za watu wazima, akisema kuwa ni chaguo bora kwake.

Kupitia Twitter yake, Adam alisema kuwa japo kwa mara ya kwanza alipoangalia video mkewe akishiriki mapenzi na mwanaume mwingine wakiigiza video za watu wazima lakini alijikubalisha kwamba ni kazi kama kazi nyingine tu.

“Imepita wiki moja tangu nimruhusu mke wangu afanye ngono na kijana mwingine. Nilihisi wivu kidogo mwanzoni lakini kwa ujumla haikuwa jambo kubwa,” Adam22 alisema.

Alisema kuwa halikuwa suala kubwa kwakekatika kile alichokitaja kuwa mkewe pia amewahi kumshuhudia akishiriki ngono na wasichana wengine.

 Alisema kuwa mkewe kulala na wanaume wengine kumeleta tija kwenye taaluma yake lakini pia kwenye biashara yao ambayo ni ya kutiririsha video za watu wakishiriki ngono.

“Amenitazama nikilala na mamia ya wasichana na haijawahi kuathiri uhusiano wetu. Kulala na bwana huyo imekuwa ya kushangaza kwa kazi yake na biashara yetu. Kwa ujumla nimefurahi tulifanya hivyo na nina furaha kuripoti uke wake umerejea katika ukubwa wake wa awali,” Adam22 alisema.

Kwa wale wasiojua, wapenzi hao wanashiriki mtoto mmoja pamoja ... na mbali na podkasti ya "No Jumper," wanashirikisha "No Plug Podcast" kwenye Onlyfans -- ambapo wanahojiana na mwanamke kila wiki na kisha kuwasiliana naye.

Adam22 alizidi kusema kwamba ikiwa kuna mwanamke ambaye alikuwa anasoma tweet hiyo na angependa kuhojiwa ili kujiunga kwenye biashara hiyo ya kufanya filamu za watu wazima, basi alikuwa tayari kumtafuta.

“Iwapo kuna mwanamke yeyote kati yenu anayejibu tweet hii anataka kuhojiwa kisha acheki kwenye Plug Talk plz DM @plugtalkshow Asante!!” alisema.

View Comments