In Summary

โ€ข Wengi walikita macho yao kwenye sehemu zake za siri wakijaribu kuzoom kama wataona uvimbe unaodhibitisha kuwepo kwa uume wake, lakini hawakuweza kuona.

Kinuthia
Image: Instagram

Watumizi wa mtandao wa Instagra mwamebaki midomo wazi baada ya tiktoker Kelvin Kinuthia kupakia video akicheza densi ndani ya nyumba yake.

Kinuthia alikuwa amevaa vazi la kike maarufu bikini na kwa ukaribu Wakenya waliweza kupata nafasi ya kuuchambua muonekano wake.

Gumzo kubwa lilikuwa pale ambapo wengi walikisia kwamba Kinuthia alionekana bila uume ulioweza kuonekana kwenye bikini yake, na wengi waliuliza swali la kizushi โ€˜kwani hana?โ€™ wakiwa na maana ya uume wake.

Kwenye video hiyo, Kinuthia alisakata densi kwa mwendo wa taratibu huku juu ya bikini amevalia vazi la manjano na kudai kwamba baridi ya Nairobi ilikuwa imemzidia na kuwa alikuwa anatathmini kuelekea Mombasa kwenye joto.

โ€œHii baridi imezidi Twendeni coast ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ย #tbtโ€ Kinuthia aliandika.

Wengi walikita macho yao kwenye sehemu zake za siri wakijaribu kuzoom kama wataona uvimbe unaodhibitisha kuwepo kwa uume wake, lakini hawakuweza kuona.

Haay hapa ni baadhi ya maoni ya watumizi wa mtandao huo kwenye video hiyo.

โ€œNaulizaje? Ama wacha tu!โ€ Aliuliza mtangazaji Billy Miya,

โ€œUnajua ninachojitahidi kuona...tumia kitufe hiki๐Ÿ˜‚โ€ mwingine alisema.

โ€œKinuthia nauliza kwa uzuri is their any signs of Mjulus there?๐Ÿ˜‚โ€ mwingine alisema.

โ€œKuna kitu nastragoo kuona na sioni aki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mwenye ameona anitag aki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ€ Precious Stabbz.

โ€œGender reveal. Its a girl๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ€ Tracy Gitonga.

โ€œMimi nashindwa ile nn Iko?โ€ Fridah Okongo.

View Comments