30 May 2019 1 Min Read
Mwanamke raia wa Kenya apatikana amefariki Australia
by Yusuf Juma Habari
Mwanamake raia wa Kenya amepatikaka akiwa amefariki katika nyumba yake nchini Australia baada ya jamaa zake kuripoti kwamba ametoweka .
Jelagat Cheruiyot mwenye umri wa miaka 34 kutoka Uasin Gishu alifaa kusafiri kwenda marekani wiki iliyopita kwa hafla ya dadake kuhitimu katika chuo kikuu lakini alipokosa kuja ,jamaa zake walianza kumtafuta .