WAKENYA
Waumini katika kanisa la Legio Maria African Mission church wahudhuria misa usiku wa kuamkia Krismasi katika eneo la Fort Jesus Nairobi, Kenya December 25, 2019.

PICHA: REUTERS

Watoto wajibamba katika bustani ya Uhuru katika siku kuu za Krismasi Nairobi, Kenya December 25, 2019.

PICHA: REUTERS

Wanakwaya waimba nyimbo za Krismasi katika kanisa la Holy Family Basilica Nairobi, Kenya December 25, 2019.

PICHA: REUTERS

Waumini katika kanisa la Legio Maria African Mission church wahudhuria misa usiku wa kuamkia Krismasi katika eneo la Fort Jesus Nairobi, Kenya December 25, 2019.

picha: REUTERS

Wakenya katika bustani ya Uhuru wakiendesha merry-go-round jana katika siku  kuu za Krismasi

PICHA: REUTERS

Mtoto arembeshwa uso Nairobi, Kenya December 25, 2019.

PICHA: REUTERS