Waumini katika kanisa la Legio Maria African Mission church wahudhuria misa usiku wa kuamkia Krismasi katika eneo la Fort Jesus Nairobi, Kenya December 25, 2019.
PICHA: REUTERS
Watoto wajibamba katika bustani ya Uhuru katika siku kuu za Krismasi Nairobi, Kenya December 25, 2019.
PICHA: REUTERS
Wanakwaya waimba nyimbo za Krismasi katika kanisa la Holy Family Basilica Nairobi, Kenya December 25, 2019.
PICHA: REUTERS
Waumini katika kanisa la Legio Maria African Mission church wahudhuria misa usiku wa kuamkia Krismasi katika eneo la Fort Jesus Nairobi, Kenya December 25, 2019.
picha: REUTERS
Wakenya katika bustani ya Uhuru wakiendesha merry-go-round jana katika siku kuu za Krismasi
PICHA: REUTERS
Mtoto arembeshwa uso Nairobi, Kenya December 25, 2019.
PICHA: REUTERS