24 February 2020 1 Min Read
Obama Girls! Malia na Sasha Obama sasa ni watu wazima-Tazama picha
by Yusuf Juma Habari
- Familia ya Obama
- Familia ya Obama walkati binti zake walipkuwa wachanga
- Kama umeme:Jinsi binti zake Obama walivyokua haraka
- Binti za Obama pamoja na Mama yao Michelle na Nyanya yao Marian Lois Robinson
- Barack .Michelle na binti zao Sasha na Malia
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle huenda ni miongoni mwa watu maarufu sana duniani endapo idadi ya wafuasi wao mitandaoni ni jambo la kuzingatiwa . Obama na Michelle wamewavutia watu wengoi sana ambao licha ya kuondoka White House ,wamezidi kugonga vichwa vya habari kwa safari zao na shughuli mbali mbali wanazoendelea kufanya.
Barack ,ambaye alihudumu kama rais wa 44 wa Marekani alihuhduria chuo kikuu cha Columbia University kabla yakwenda Havard ilhali mkewe Michelle alianzia Princeton University huko New Jersey kasha baadaye akasomea Havard .