Obama Girls! Malia na Sasha Obama sasa ni watu wazima-Tazama picha

Rais  wa zamani wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle huenda ni miongoni mwa watu maarufu sana duniani endapo idadi ya wafuasi wao mitandaoni ni jambo la kuzingatiwa .  Obama na Michelle wamewavutia watu wengoi sana ambao licha ya kuondoka  White House ,wamezidi kugonga vichwa vya habari kwa safari zao na shughuli mbali mbali wanazoendelea kufanya.

Barack ,ambaye alihudumu kama rais wa 44 wa Marekani  alihuhduria chuo kikuu cha Columbia University kabla yakwenda Havard ilhali mkewe  Michelle alianzia Princeton University huko New Jersey kasha baadaye akasomea Havard .