Ken OuKO

Mhadhiri wa chuo kikuu cha Nairobi anayefahamika na wengi na  mwanasosholojia Ken Ouko ameaga  dunia .

Mkurugenzi wa mawasiliano wa chuo hicho  John Orindi  amethibitisha kwamba Ouko amefariki jumaosi asubuhi  baada la kulazwa hospitalini .Ouko ameaga duni kwa ajili ya virusi vya corona .

Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa Nasa Norman Magaya  ni miongoni mwa waliotumia twitter  kuomboleza kifo cha Ouko

https://twitter.com/amugira/status/1289449533177569280

Aliyekuwa mgombeaji wa kiti cha ubunge cha Kibra  Eliud Owalo pia alimuomboleza Ken kupitia twitter akisema ;

https://twitter.com/EliudOwalo/status/1289459625566171136

View Comments