Ni ukweli ama ni Drama? Mashabiki watoa usemi kuhusu uvumi wa Jowie Irungu kutengana na mkewe Eleanor
Jowie Irungu na mke wake Musangi wamzua uvumi kuhusu kutengana na baada ya mmoja kujiondoa katika kaunti ya mwenzake mitandaoni na pia kuzifuta picha walizopiga pamoja hapo awali .
Hakuna aliyetarajia hilo ikizingatiwa kwamba wawili hao wamekuwa katika lindi la mapenzi wakishikina mikono na kufanya msururu wa mahojiano katoika vyombo vya habari wakiwa pamoja .
Eleanor aliandika ujumbe fiche ambao unaonekana kuashiria kwamba kuna mambo anayojutia kuyasema hadharani
Jowie, ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya mfanyibiashara Monica Kimani alimtambulisha Musangi kama mke wake wiki chache baada ya kuachiliwa kutoka gerezani .
Mashabiki hawakuchukua muda kabla ya kuanza kutoa maoni yao kuhusu uvumi wa kutengana kwa wawili hao
inch.o And their relationship was short and sweet
kinshit_bambino Enyewe it was a long-distance relationship
kinshit_bambino Jowie was tired of being looked down onand too tired to look up to her
paulohunnid the power of mtaachana tu
alickay Nothing new, tulivunjwa roho na tukazoea. Lakini jowie naye after kamtoto ka Ella kamepiga violin hivo kwa ile wimbo yake. Sasa watadelete hio part ama?
daagy_kirk kama eve alidump Adam huyu ni nani????
el.tashiie na tuliwaambia wataachana tu kama height difference hawakuskia
alexerkeyz kamati ya”mtaachana tu” they won once again
iam.svndrv Hakuna mapenzi ilikua hapo walikua wanacheza kalongolongo
core_law Na nilisema tu hao si matako waishi pamoja milele
the.athleticc heri mimi napenda kdf hatuezi kosana na ni ekonomiko
nasty._kargie Do you believe in love
k.a.s.w.e.a.t.y Mapenzi ni ngumu
i.am_shakilla Long distance relationship
hottwerkerskenya You think looking up to her daily is easy
a.n.t.i.d.o.t Kwani ilikuwa waachane
Kimathi Vincent So you expect us to be surprised ama? Jowie should have kept this relationship a secret and maybe take some time away from social media to heal.
prudence Love is overrated
sobermindtalk Love is a scam
Boaz Abu Calid I knew it will end in indian ocean size of tears
gichez role models wao offset na cardi B walizima hopes za mapenzi
kinshit_bambino Tulisema ni kugasanisha tususu na kuachana
mal_aika Ogopa mapenzi
Kevin Onyango Enyewe mimi ni ultra legend, yani my erection last longer than most of these relationships.
devieee it ended in tears
Koi MK Should have seen how Jowie became restless during an interview with Massawe when she happened to say ,,,Msikilizaji hapa tunaye Jowie Irungu na Mkewe!! He almost stood to stop the introduction and it was clear the gal was in marriage alone
Isaac Kuria The taller the lady the shorter the relationship!!
Daniel Benz Just as I said….it has finally ended up in tears