Ni ukweli ama ni Drama? Mashabiki watoa usemi kuhusu uvumi wa Jowie Irungu kutengana na mkewe Eleanor

jowie
jowie
Jowie Irungu  na mke wake  Musangi wamzua uvumi kuhusu kutengana na baada ya mmoja kujiondoa katika kaunti ya mwenzake mitandaoni na pia kuzifuta picha walizopiga pamoja hapo awali .

Hakuna  aliyetarajia hilo ikizingatiwa kwamba wawili hao wamekuwa katika lindi la mapenzi wakishikina mikono na kufanya msururu wa mahojiano katoika vyombo vya habari wakiwa pamoja .

Eleanor aliandika ujumbe fiche ambao unaonekana kuashiria kwamba kuna mambo anayojutia kuyasema  hadharani

Jowie,  ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya mfanyibiashara Monica Kimani  alimtambulisha  Musangi kama mke wake wiki chache baada ya kuachiliwa kutoka gerezani .

Mashabiki hawakuchukua muda kabla ya kuanza kutoa maoni yao kuhusu uvumi wa kutengana kwa wawili hao

inch.o And their relationship was short and sweet

kinshit_bambino Enyewe it was a long-distance relationship

kinshit_bambino Jowie was tired of being looked down onand too tired to look up to her

paulohunnid the power of mtaachana tu

alickay Nothing new, tulivunjwa roho na tukazoea. Lakini jowie naye after kamtoto ka Ella kamepiga violin hivo kwa ile wimbo yake. Sasa watadelete hio part ama?

daagy_kirk kama eve alidump Adam huyu ni nani????

el.tashiie na tuliwaambia wataachana tu kama height difference hawakuskia

alexerkeyz kamati ya”mtaachana tu” they won once again

iam.svndrv Hakuna mapenzi ilikua hapo walikua wanacheza kalongolongo

core_law Na nilisema tu hao si matako waishi pamoja milele

the.athleticc  heri mimi napenda kdf  hatuezi kosana na ni ekonomiko

nasty._kargie Do you believe in love

k.a.s.w.e.a.t.y Mapenzi ni ngumu

i.am_shakilla Long distance relationship

hottwerkerskenya You think looking up to her daily is easy

a.n.t.i.d.o.t Kwani ilikuwa waachane

Kimathi Vincent So you expect us to be surprised ama? Jowie should have kept this relationship a secret and maybe take some time away from social media to heal.

prudence Love is overrated

sobermindtalk Love is a scam

Boaz Abu Calid I knew it will end in indian ocean size of tears

gichez role models wao offset na cardi B walizima hopes za mapenzi

kinshit_bambino Tulisema ni kugasanisha tususu na kuachana

mal_aika Ogopa mapenzi

Kevin Onyango Enyewe mimi ni ultra legend, yani my erection last longer than most of these relationships.

devieee it ended in tears

Koi MK Should have seen how Jowie became restless during an interview with Massawe when she happened to say ,,,Msikilizaji hapa tunaye Jowie Irungu na Mkewe!! He almost stood to stop the introduction  and it was clear the gal was in marriage alone

Isaac Kuria The taller the lady the shorter the relationship!!

Daniel Benz Just as I said….it has finally ended up in tears