Mikakati ya serikali kukabili athari za mafuriko

Idara ya utabiri wa hali hewa imeonya kuongezeka kwa mvua kubwa kuanzia Ijumaa hadi Jumapili.