Nairobi yaongoza kwa idadi ya kambi za wakimbizi wa mafuriko

Kaunti ya Nairobi ina kambi za wakimbizi wa mafuriko 35 zenye jumla ya watu 8,014 huku Garissa ikiongozwa kwa idadi ya watu walioathirika kutokana na mafuriko, 21,597.

Muhtasari

• Ripoti ya wizara ya ndani inasema tayari kuna kambi za wakimbizi wa mafuriko 138 kote nchini katika kaunti 18.

Mafuriko
Mafuriko
Image: ROSA MUMANYI