Diego Maradona maradona

Mchezaji nyota wa zamani wa kandanda  wa Timu ya Argentina Diego Maradona  ameaga dunia . Maradona alikuwa na umri wa miaka 60 .

Kiungo huyo mshambuliaji wa Argentina awali mwezi huu alifanyiwa upasuaji wa ubongo ambao madaktari walimwambia ulifaulu.

 

 

View Comments