In Summary

• Mwenyekiti wa bodi ya mamlaka hiyo alisema mwendokasi, uzembe wa kuendesha gari, kupita magari mengine kwa hatari, kuendesha ukiwa mlevi, kutembea ukiwa mlevi, na kushindwa kutumia mikanda, vinafahamika kuchangia kwa kiasi kikubwa ajali.

Radio Jambo Grafiki Ripoti ya ajali za barabarani tangu Januari mwaka 2022 hadi Novemba
Image: Hillary Bett
View Comments