In Summary

• Si kawaida kuona wachezaji wa timu moja wakipigana uwanjani lakini visa kama hivyo pia si vigeni kushuhudiwa uwanjani.

• Wachzaji watoro kama vile Mario Balotelli na Zlatan Ibrahimovic si wageni kwa vitendo hivi vya kuwashambulia wenzao uwanjani.

Wachezaji wa timu moja ambao wamewahi kupigana uwanjani.
Image: Hillary Bett
View Comments