Adebayor, Mané, Ibrahimovic: Wachezaji waliowapiga wenzao wa timu moja uwanjani

Usiku wa Jumanne, Sadio Mane alimpiga na kumjeruhi mwenzake mdomoni baada ya kipigo mikononi mwa Man City.

Muhtasari

• Si kawaida kuona wachezaji wa timu moja wakipigana uwanjani lakini visa kama hivyo pia si vigeni kushuhudiwa uwanjani.

• Wachzaji watoro kama vile Mario Balotelli na Zlatan Ibrahimovic si wageni kwa vitendo hivi vya kuwashambulia wenzao uwanjani.

Wachezaji wa timu moja ambao wamewahi kupigana uwanjani.
Wachezaji wa timu moja ambao wamewahi kupigana uwanjani.
Image: Hillary Bett