In Summary

•Jumapili, rais William Ruto alisema muswada wa mpango wa nyumba ukipitishwa bungeni utakuwa sheria na wafanyikazi watahitajika kuchangia.

•Kulingana na rais Ruto, mfanyikazi atatoa 3% ya mshahara halisi naye mwajiri wake ataongeza asilimia 3.

Alichosema Rais Ruto kuhusu mpango wa nyumba
Image: HILLARY BETT
View Comments